Taimajin huyu niwewe ...your fam ikufanyie hivi

https://www.youtube.com/watch?v=bEJcj4uxPIA

Wtf is this bullshit?

Jonte umevuruta ile sigara kubwa na glue

Mkiambiwa mtu wenu ameaga dunia si the first thing is to see the body to confirm? Hawa walianza maombolezi and karibu wachimbe kaburi juu they had already printed euology. You have to wonder mbona walifanya vitu upside down. The reporter pia ni kondoo tu. She is not intelligent enough to ask them

Watu wa embu na bangi ni marafiki wakubwa sana.

Wendagiria kuu tuke tunywe yaku mukwathi uyu?

This is conmanship… How do they explain his whereabouts… How do they hold Disco matanga without a death certificate…?