Tahmeed Express

wakiendelea ivi watafika ile level Akamba Bus walikuwa wamefika.
[MEDIA=twitter]1646489525584269312[/MEDIA]

@sani gathee how is Mombasa?

Hali iko shwari,

Hii biashara huwa ya money laundering. Ukijaribu kuifanya honestly utaweka hizo basi zote juu ya mawe. Siezi shangaa kuskia each bus huleta 200k per day.

comfy kuliko sgr economy usiku

Routes za Tz inaonekana ni competitive sana lazma bus ikue mpya

1 Like

Mbsa rd usiku ni swara boss. But i hear they are comfy due to reclining seats…na unaweza angukia your seat partner akuwe dem ukuoshe rungu enroute

I am not a fan of buses lakini kuna time arif flani wangu aliniconvince tupande Scania flani kuenda coast. I was kinda impressed vile turbo zinaspool up at a very low RPM then you get a surge of power inakunywa hizo milima vibaya sana. Engine sounds lazy lakini speed iko high.

Wivu kijana itakuua, wewe unaona tu wakisambaratika tu

tumia akili, hakuna mtu ametaja kusambaratika mahali

Keanu akamba haikusambaratika? We know wewe ni mwivu

nikikwambia utakuwa kama kirubi namaanisha utakuwa tajiri, ama utakufa?

Zote

Boarded ENA’s 35 mirrion sijui Brazil imported Marcopolo G7 bus to Migori. Very Nice