Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe

Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe

“Nikiangalia kopo langu la mkono,
lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda.”

Tafakari ya babu…
"Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu akamuuliza, "kwa nini wewe mjinga unajipaka mate? "mtoto akamjibu,"jana usiku nilisikia
mama akiambia baba “kama haiingii paka mate hapo kichwani ujaribu tena” kisha mama akamuuliza, "imeingia?"baba akamjibu,“ndio.
Imeingia yote” nami nimejipaka mate kichwani ni jaribu tena nione kama hii hesabu itaingia yote!!

5 Likes

mama akamuuliza “imeingia” !

huyu fisi anakuanga na ufala sana

1 Like

Aitha ni mtaro ama toothpick. Or both.

wewe shemale,yako ni nini?

Mama aidha alikuwa anahesabu Mabati au anajisuka nywele!

:D:D:D

kuwanga mpole saazingine boss

:D:D:D:D:D swale mdoe awache kuvuta bangi akija studio

https://www.youtube.com/watch?v=OKK-eikdMGU

7 Likes

:D:D

@Lab … hiyo avatar yako :D:D:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Hata sijui Kwanini najipata nikicheka. . Kaa kondoo

Huyu ni fisi sana. Hawekangi interns, anawararua raru raru.

:D:D:D