TABIRI timu tatu ambazo moja kati yake itachukua WORLDCUP

mimi tatu bora zangu hizi hapa. Ubelgiji nikimpa kombe kipaumbele
1)Ubelgiji
2)Ufaransa
3)Urusi

ujerumani

Ufaransa hoyeee….

:smiley:
[ATTACH=full]180337[/ATTACH]

Niliona gif kadhaa za huyu buda akiweka mkoni kwa makei alafu ananusa.

During the game !

Saudi Arabia

Belgium, France, England.

Brazil,Croatia and Belgium

Belgium,portugal,france.

Tuko pamoja

Belgium …

The teams are now didvided into these two halves.

Belgium,Japan,Uruguay, Portugal, France, Argentina, Mexico and Brazil

England ,Spain, Russia, Croatia, Denmark, Sweden, Switzerland and Colombia.

Am of the opinion that the first half of the teams will most likely produce the winner judging by the caliber of teams they have to navigate.From the other second half of the teams the only decent teams,according to how they have played so far,are Croatia and England.

But football being so unpredictable you never know!

Belgium is the decent team up to this stage, according to me

Belgium wana team chemistry all over the field…hope they will do better…come on lukaku

[ATTACH=full]180400[/ATTACH]

england wanajitahidi mkuu, ila kama kweli wakiingia fainali hatutalala. hata BBC watatangaza kwenye habari zao za dunia za kisiasa.

Yeah we would never hear the end of it!

Ureno

naungana na wewe ila nasema sisi Three Lions tunaenda kubeba hiyo ndoo kiutani utani, tupo ktk hii tournament kama underdogs tu