Tabia za kunguru

[ATTACH=full]346647[/ATTACH][ATTACH=full]346649[/ATTACH]

[ATTACH=full]346650[/ATTACH]
[MEDIA=facebook]204385384715038[/MEDIA]
Her fellow kungurus wemejam kwa comment section

only immature people expose each other.

Mature peopl don’t go around begging from strangers

why is that stranger attracting beggars? ata mateja hujua nani mwenyeji na nani mshamba ametoka bara. io kunguru ilitoa number wapi ndio iombe pesa? mwanaume low quality ana attract mwanamke level yake, then akiombwa pesa anaeka screenshots fb ndio tuone yeye sio low quality.

ebu post iyo comment section just incase najua mtu kwa hao wanamtetea…

Noma

[ATTACH=full]346651[/ATTACH]

Mr Sani,maybe you are too old to understand this.

[ATTACH=full]346652[/ATTACH]

:D:D

Uliokota number facebook na haujawahi muona…huyo ni ndume anarun hiyo account

i dumped one after dryfrying, when she insisted ameenda eye check up, and it cost 6000. Nilimuuliza which check up coz optical ni 100 bob. akaanza hasira. nikalenga.

haha…hawa wasichana wa college wanakuwa hivo.Mwingine alianza na mimi hii tabia,mara fare ya kuenda shule ,mara fanya kambe unitumie 1500,…I just went silent and reduced my availability
Hesabu ingine ukipiga unapata ukiwa mjinga unatumia mtu more than 8k in a month

Very immature man. Unalia juu ya pesa ndogo. Hii Nairobi lazima ukuwe na pesa ama unyonge monkey. The sooner you accept that fact the better for you. Ata ukioa bibi bado ataitisha pesa. Wacha kutusumbua na shida za mia mbili na mia tatu. Tumia kunguru thao moja ata bila yeye kuuliza ndio atulie na uwache kutusumbua na hizi shida za peasants. Kama huwezani leave her to the streets sisi vijana wa Nairobi tutawezana. Spend your time working hard utafute pesa coz vile unaenda ni kama ukianza kudeal na pesa za salon na daipers utaandika headlines kwa gazeti.

Hahaaa… Wewe sio kijana wa Nairobi… Wewe ni wa mashambani… Unatumia kunguru io 1k alafu anakuja ananichafua nayo, jioni anakuzimia simu mimi nakuta vitu… Following day lazima utume 1k ingine ndio aache kukunyamazia… Same process again… Akuje anichafue na jaba na mzinga, jioni nikute vitu… Alafu ju ya huruma, weekend akuletee vitu ukute tu kiasi ndio following week tusikose 1k yetu daily… Akikuletea vitu kukufunga macho mimi naenda nashugulikia bibi vizuri na namwachia savings zangu kiasi ju ya familia(nimekuwa nikitumia 1k yako kwa ivo pesa yangu nasave)… Alafu following week same process…:D:D:D:D

Wewe ni dem

Sina shida kutumia kunguru 1k. Badala ya kuchat chat na kunguru juu ya mia tatu ndio nikuje kupost hapa. The bundles huyu jamaa ametumia kuchat chat na huyu kunguru angemtumia thao ndio awache kutusumbua hapa kulia juu ya mia tatu. Hii game ikona levels. Kama huwezani na kunguru za Nairobi stick to ushago. Hii Nairobi either ulipe lanye ama ukulwe pesa na bibi ama kunguru…it is part of life. City boyz tumezoea izo mia mbili mia tatu ni sunk costs kwetu.

Money circulation in a crow economy elucidated.

Na wenye tunaishi vile tunapenda na hakuna watu wanatukula pesa?? Nyinyi City Boyz mkishajua city vizuri mtakuwa City Men kama sisi sasa… Pesa tu tunatoa ni ya watoto tunapatia bibi(bibi hawatukuli… Ni ya watoto pekee)… Ju nao watoto lazima tulee

The audacity of this bittch though