MBINU MPYA ZA UPASUAJI WA UBONGO, MGONGO NA MISHIPA YA FAHAMU.
Wakufunzi kutoka Chuo Kikuu cha Colorado Denver, U.S.A wamekuja MOI kutoa mafunzo kwa madaktari na watumishi wengine. Mafunzo yanayohusu matumizi ya 'Ultrasound ’ na darubini ya kisasa ‘Neuromicroscope’ ktk upasuaji.
Wewe mwifwa ni medical doctor ?
Mwifwa are you a medical doctor?
Nimetoa tu taarifa maana nimeipata sehemu, mimi sihusiki
Unahusika vizuri sana wewe mashinji
Kama ni hivyo, basi Dr. Bashiru, Dr. Mwigulu, Dr. Magufuli, Dr. Kikwete nao ni medical doctor
Umeshaanza kujing’atang’ata mashinji
Sawa bana Polepole maana wewe akili yako ushaiweka kabatini Lumumba, hauhitaji tena kuelewa
Hahahahaaaaaa! hapa umempa dawa mkuu
hahaha
:p:p:p:p:p:p
:p:p:p:p:p:p
Inapendeza…
Cc: @Mahondaw