Taarifa iliyotolewa na TCRA ni ya uongo na upotoshaji mkubwa

Naona uvccm wamekuja kwa fujo huku, si mngebaki huko kwenye giza

Lengo na dhumuni mbona lipo wazi…

Cc: @Mahondaw

Mjitahidi kusoma comments zote kabla hamjaqoute mtu.

Si mnakumbuka Magufuli alivyowapiga mkwara mzito wanahabari kwa kuwaambia kuwa hawana Uhuru to that extent??

Tokea wakati ule ndipo Uhuru wa vyombo vya habari ukaanza kupotea taratibu…

Na hatimaye mitandao ya kijamii ambayo ndiyo pekee “where we dare to talk openly” hususani Jamii Forums ikatiwa kabari!

Sasa hawa jamaa wa TCRA wanaanza kujikosha kwa kudai kuwa tumewa-misquote

Lakini penye ukweli uongo hujitenga…

Nitake radhi mkuu uvccm tena me si kirusi wa taifa mkuu.

Hahaaaahaaaa…

Hao vijana wa Buku 7 wamevamia huku ughaibuni, lakini wanachosahau huku hakuna posho, watakufa na njaa!

hata kama mtu anaongea pumba tusimwambie

hata kama mtu anaongea pumba tusimwambie

[MEDIA=twitter]1008099644356939778[/MEDIA]

@Mwanga-Lutila alinielewa na wala hoja haikuwa kuzuia kukosoana!

!
!
Wakimaliza Uhuru Wa Habari What’s Next

Hakuna siku serikali itakili makosa!
Tusitegemee itasema nikweli nabana uhuru wa taarifa.

Tundu Lissu alisema hakuna atakayebaki salama!
we are seeingthe same.

Kama [COLOR=rgb(44, 130, 201)][SIZE=6]Mt[COLOR=rgb(247, 218, 100)]a[COLOR=rgb(97, 189, 109)]za[COLOR=rgb(247, 218, 100)]n[COLOR=rgb(0, 0, 0)]ia [/SIZE]mwenye kustahili haki zote kama zilivyoainishwa na Katiba, na kwamba haki hizo hazipaswi kuingiliwa na yeyote awaye Nani ambaye wewe unamuhusudu…!!

Mwambie huyo kada kwa kuwa hata haki zake za kikatiba hazijui…

Na ndicho kinachofanya Magufuli anatupeleka mputa mputa bila sisi wenyewe kujijua

Itapendeza zaidi na wewe urudi huko kwenyu utoe maoni yako, juu usitufate huku Kenya na sheria za nchi yenyu

Ametoa mawazo yake au anapinga ya TCRA!

Inaonyesha uelewa wako mdogo sana ndugu! Anachohitaji ni kuiona hiyo taarifa anayoikanusha, sio kuweka porojo tu hapa! Tuliza mtori nyama zipo chini babu!

Mwanga Lutila wanaMaanisha comment zako zimekaa kilumumba ingawa Mimi sijaafiki bado!