Taarab

Hizi ngoma huwa zime ni nice kiplani. Love the swahili accent

@Billy_Drago hizi ndio huwa mnazikwenda hapo pwani? Ziko swafi. Won’t mind attending a concert in future. Bado jahazi band wako pamoja?

3 Likes

I am not updated on their progress but their music was and is still lit. Taarab is mostly presented live in weddings and other functions.

They are originally from TZ ( mzee Yusuf played a major role in modern taarab).

Bango, taarab & coastal traditional songs rules the airwaves at the coast. Don’t forget marashi ya kuvutia ya akina Zeituni na harufu nzuri ya coast dishes.

Karibu ujinice.

2 Likes

Nitakuja hizo sides. Am hoping mvua hainyeshi hii December

1 Like

Mvua hainyi sana kama mwezi uliotangulia.

1 Like

Last year ningefika nikawa Kuna ka mtu kadogo Kako one month old kejani, sahi Ako one year I can now promote local tourism

1 Like

Njoo nao wote including that former kizingiti( 1yr old) wakapumue hewa nzito yenye joto, wa cruise baharini ndani ya motorboats zilizo na windshields wakiwa wamevalia life saving jackets, wakimumunya maji ya barafu au sharubati taratiiibu, wakipishana na mashua ya wavuvi tajika, wakipewa hadithi nzuri tu za pwani tangu enzi za Vasco da Gama.

Baada ya hapo wacheze football/ volleyball kando kando ya bahari chakula chao kikiendelea kutayarishwa na trained & experienced chefs. Baada ya mlo ni tv programs za juniors waki interact na wenzao from other nationalities until they naturally dozz off one by one then chup to their aircon bedroom.

Shida hunywi vileo la sivyo ungelienda department ya " elders" under a makuti rest house. Grilled meat from over 20 species of animals, chaguo ni lako, whiskey or cold beer ukiskiza miziki zinazoenziwa pwani ukisafisha mecho. ( wife anajua unawatch ball while networking so let her take care of the kids).

Coast life is sweet if you are loaded( fairly).

2 Likes

Safi sana kaka

1 Like

Modern Taarab music is a personal favorite …

“Utalijua Jiji” - Bi Afua Suleiman “B52” and the East African Melody Band.
This is one of her most famous “diss” tracks …
The Lyrics of the Song [ with double meanings ] are pure fire … : :blush: :fire: :fire:

3 Likes

Chorus : :blush: :fire: :fire:

Wako nishamchukua , harudi tena kwako we Mwenzangu
( …Oooh Utalia , Mwenzangu Jiji Utalijua …)
Bwana kanipa nafasi , nimuonyeshe Ujuzi we Mwenzangu
( …Oooh Utalia , Mwenzangu Jiji Utalijua …)
Nampikia Mandazi na Chai ya Tanangawizi we Mwenzangu
( …Oooh Utalia , Mwenzangu Jiji Utalijua …).
Kisha natoa “Dozi” , limpayo Usingizi we Mwenzangu
( …Oooh Utalia , Mwenzangu Jiji Utalijua …).
Mwenzangu huna Ujuzi , rudi tena ukajifunze we Mwenzangu
( …Oooh Utalia , Mwenzangu Jiji Utalijua …)

3 Likes

" Kwake hupati yake nafasi, Mimi ndiye pumzi yake" halafu niulizwe mbona polygamy?. Kwetu yakubalika.

They come from a cluture where 4 Wives are allowed …
But the great majority have only 1 wife nowadays …
However …
If she fails in her “Wifely Duties” ( House keeping , Cooking , Beauty , Respect and Sex )…
Atalijua Jiji … :stuck_out_tongue_closed_eyes: :stuck_out_tongue_winking_eye:

1 Like

.
Bibi Afua Suleiman AKA “B 52”:stuck_out_tongue_closed_eyes: :stuck_out_tongue_winking_eye:
This gifted Singer / Composer is a absolute beast at spitting out “Diss” Lyrics …
( … sort of like an older version of Femi One …).

B 53
B 52
** Very few Singers and Foes dare to take her on or challenge her in any way** …!!

1 Like

True. Na hawana wivu, wanatambua nyumba kubwa na nyumba ndogo, irrespective of challenges.
Rare gem.

1 Like

Encouraging polygamy.
“WeWe wa nyumba kubwa Na Mimi wa nyumba ndogo sote tuna Haki Sawa”.

2 Likes

My favorites are Fatma nyoro, na mamake zuchu, Khadija kopa…

1 Like

“Top in Town” - Khadija Kopa.

2 Likes

“Aso Kasoro ni Mungu” - Fatma Nyoro.

2 Likes

Hapa Sasa. She has a great voice, there is another song of hers “maruperupe”

Malkia wa mipasho.

1 Like

Hawa kina dada wana mistari inakata kama wembe

“Sawa ulie sawa ulie
Japo una uso wa guzo sawa ulie…
Mwenzangu huna stara…cheko sishangilie unayechekwa ni wewe”
Wueh!

3 Likes