Sweetness Eats itself up.

April 2010.

Kilicho na mwanzo…
Was my final days pale South B. Sasa Capi as they called me na rum mate wangu pale Kwa hostel za chuo, Kevo lazima tungeplan afta kumaliza colle jinsi ya kusaka attacho kabla ya graduation ama job. so there was one thing in mind. hakuna vile tungeenda home in the shaggs. Tutakaa tu mtaa…mwisho was masomo.

Friday jioni Kevo akanishow alikuwa na relatives pale Marurui…wale hawajui huko niwapi Marurui iko Hapo mbele ya roysambu. Huko ndo ataenda kucamp.Mimi nikamshow niko na beshte thika rd pia huko ndo naenda.
Tukaenda hapo South b shopping center tukapata Mbugu’s. Yeye alikuwa ni dere wa probox hapo nje ya Club Rims… Hii club by th way hucheza Ohangla pekeake na brothers kutoka lakeside ndio sanasana unapatanga wakikunywa hapo. By gudluck Mbugua hakuwa mteja. Tukanegotiate beiakasema atatubebea stuff zetu na akakwamia 2k.

Sisi hao tukapack vitu zetu hadi mathare North. 1st destination Kwa beshte yangu anaitwa Skeleh… huyu Skeleh tulisoma nayeye highskul na alikuwa nairobi kuhustle. Alikuwa anafanya kajob ya sales and marketing.

By the way tulim-batiza skele sababu alikaa tu skeleton. ata akitembea magoti ilikuwa inakaa kama inacriscross, plus eye sockets zake zilikuwa zimeingia huko nyuma. He was extremely slim. Mbele na nyuma yote ilikuwa tu the same. Akienda na akikam hungemake a difference. kamtu kalikonda hata kichwa na vile huwa na maskio kubwa. ukikaangalia kalikuwa kanakaa Kaana Funny. kama kale ka wakioi. In short alikuwa Toothpick.

Skele tulipatana nayeye Siku moja huko Eastleigh nikiwa 1st year tukapeana manumber kisha kila mtu akapenya zake.

Mimi nikadropiwa stuff zangu hiyo majioni kisha Mbugu’s na Kevo wakatoka. Kidogo nijmkamshow Skele tutoke roundi mwebda nikicheki hiyo mtaa juu mimi ni mgeni. Sasa hiyo base ya mathare iko na club inaitwa Bachelor’s. Kuona klabu nikajifanya kwenda susu kisha Skele akanifuata. Juu nilikuwa na doh nikaamua tujitibu mabottles kiasi tukiongea sasa real life huku nje.

Back home nilikuwa nimetumiwa sam good cash nikondishe hau plus nikaongezewa za kashopping na doh za kubuy households. on top of that nilikuwa nimesave 9k. my bank ilikuwa tu mpesa. so mfuko ilikuwa tu sawa na pesa ya kurave haikuwa na pressure.

kedo saa nne round ya kitu ya tatu ivi tei ikikam tumbo ikadai kutandikiwa. tukaitisha mbuzi choma na chipo hapo nje tu directly opposite Bachelor’s. since we were all bachelors we felt at home. dish ikikam madem waiwili wakaingia wakapata ile ngoma ya kude kude iko full blast. Following th waiter wanaingia wakitingiza tu vichwa left right. Happened hata walijuana na Skele. Baadae ndio nilijua sio malair walikuwa wanakujia doo za chipo kwa waiter wamefunga job. All I felt was the transformer down there fully charged at once na pawa ka kedo 240v. Akili ikaacha kufunction normally. All I saw was an illusion of one gal here strip naked. I needed that one to help this pilsner concortion drop smoothly.

waiter na hao madem wakifika Kwa table yetu nilikuwa nishaaamka kudance hiyo ngoma. nikashika huyo dem mmoja mkono tudance akakubali. Nikatingiziwa kidogo. Hey. Ufisi ukaaza.

Now these two lasses were a totally the opposite of the other. hii ni tabia nimeona na madame mob. huwa wanatembea mmoja amechapa na mmoja ako fiti. hii ndio trick madem hutumia sababu mmoja ndiye huwa trademark ya huyo mwingine. Tena madem wakiwa hivi hawananga compe ya wanaume. Imagine “Bifyoli wakyoli” akiwa dem plus waiggorow yule was million mia nane.

Guts nazo zikanishow “o giathi kiri murugirwo”(every feast has a guest) Tonight its me n this Dancer.

kati yao alikuwa Lisa na Fei(at least she twerked for me kiasi.) Huyu Lisa alikuwa kafupi kiasi na kanono plus sasa ni wale madark skin. Hairstylo ni kama ile ya shiebesh. juu alivaa blouse ya pink iko na collar na kijumper cha mtumba kiko na zip kubwa kama zile za tent scouts. Rangi kilikuwa cha green. chini alivaa skirt mrefu ya jeans na Viatu za rubber. Yani ni zile mzoga hungetaka ikunywe hata guarana yako ama kukaa nayo kwa club. I wasn’t interested.

Fei naye alikuwa yelo yelo with a bby face. Hairstylo ilikuwa natural blowdry ikidrop backwards. Juu sikuwa tei sana and that is wat i had spotted first, niliona alikuwa na very dark eyebrows…natural sio za kuchora…wide smile plus a witch-gap just next to canine na premolar. We call it in greek Njerumi. Akiweka ile wide smile…wacha tu. Height ni medium… Not wide shoulders…her front bumber was somehow lifted kama ile scooper ya tractor ya caterpillar. Hio ndio iliongezea petrol kqa moto. China ikasimama ndiii. Karibu ing’oe gate.

This made her two beauteous melons to protrude nicely from her black top leaving a slight view of her cleavage covered by a small silver necklace. She had very thin waist. Her “history” was the big-round n juicy a** type. Her thighs were just wow. Spongy n proportional to the a**. Everyone cud see that from her dark blue jeans trouser. Miguu iko tu sawa not thin not masculine. Ni zile miguu za sport. Plus some open black sandles. My type. My taste.

Na tondu ageni eri matiri utugire…(since two guests have ni welkam) i had to do something. Our dish was meant for two. Now we are four. Sasa unajua fisi akiona nyama na ako na doh ni kuachkilia. “Waiter leta ingine kama hii.” Chap chap and we are done. Nyama plus guarana, mapilsner, balozi za Skele na kudance kiasi saa ikafika midnight. Milango ikafungwa. Kila mtu sasa ako tipsy. In a period of kedo 2hrs Kwa hiyo club sikuwa najua tuko na Skele na Lisa. Sikuwa naona watu wengine. It was me n my Fei alone. In own world. We had a little heaven i say.

Waiter akaleta bill…5kplus. Kwani tumetumia nini. Hey. Anyway. Juu mimi ni mgeni huku nikalipa na tukatoka. Bila ngori.

Sasa tulikuwa tumeskia msuri. Nkaambia fei sasa si wajua. Murio ndutuuraga ta ngatho. (Pleasures dont last as much as gratitude.) I wanted the gratitude part. Skele akaniita kando akanishow hataki kwenda na hii matanye. Na Mimi nikamshow siachi hii. Kai wina ngom’s.??They can’t eat n drink from my wallet and get away without giving poosay. No itakorirwo na mutwe mwega.

Me: Leta key shika hii 2k wewe ni mwenyeji hii mtaa. sitaki kujua utadoz wapi. Fei kuja twende ivi kiasi. Deal done. Goodnight.

Imagine kupigwa exile siku ya kwanza na ni kwako. Skele na garagaria yake sikutaka kujua wataenda wapi.

Around 1am tuko kwa skele. Fei ndio huyo alikam amejisuda kwa bed. Kanyumba ni single. Kale ka masafara but kamepangwa poa. Kuna sofa moja ile 3seater…bed ya 3by6 meza ya TV na kasumsung ka 21". Coffee table ingine katikati ya bed na sofa plus ingine ile kitchen table.

Next. Drive mode. Gear number one. Nikaruka kwa bed. Fei was sleeping facing downwards. Nikamtap kwa shoulder. She knew wat i meant. Akaturn sasa ndio mimi huyo. The saitan in my mind is whispering to me go out to buy makonkod…no way…take it raw…hakukuwa na time. No chemist tht runs 24hrs this place. nikatake chances. Lucifer naye sistake saitan akaniambia haisuru. At times my mind is telling me to go at it direct like those Dutch rabbits. By the way I rear n sell them ukitaka inbox. But the ceiling whispered.Kuwa mpole it’s all yours tonight.

Sasa lying next to my prey nikaweka mkono wa right just below her b**bz. Kuinama kiasi akajua wat i want. Munch munch Munch. Kisses zikaflow. My right hand now on her juicy tings then started rubbing it from top downwards. In about three minutes nikateremsha mkono karibu na ikus. akaamka at once and pushed me away. This tym round akaketi kwa bed then akasimama faster. Nikadhani kimeumana. My heart bit faster now and was ready for anything. Thought she wanted to screen. Meffi. Hii slice spati au nini?

Her: hizi nguo zinatupotezea tym.
Wah…I took a deep breath in and out. Her top…off. Bra…off…trouser… Off. Akabaki na pant. This is all i wanted to see lastly. The illusions from Bachelors are now real. my mind at this tym wasn’t working. My heart was just pumping blood into my dangling Johnny’s clochet, not in my brain.

*hutoi zako? Wacha nikusaidie. Aka-unbutton my shirt akaivuta nyuma then out. Then pulled my vest. akanisukuma backwards nikalala kwa bed. kisha kwa Belt akafungua…Trousers plus my undies akazivuuta downwards.

Pale bachelor’s Fei alitingisha nikapenda. That i wat i expected that night. My fren…lemmi just say Fei danced. Her flexibility was awesome. From bed to the table then to the couch. Wah. Once again from the couch to the table back to bed. Threshold ilifika round kama zote. I don av to explain all that. Just know tulikuwa wingu la tisa wote…gear nilitumia reverse at a six seven and eight.

Krrrrrr…krrrrrrr.krrrrrrrr.!!!
Tukaangaliana tukacheka. Alarm ya kawall clock kalikuwa hapo. No one had seen it. 6am.
Her: (deep breath) wow. Morning Glory.
Me.: Tumebakisha nini?
Her: Floor.

Without hesitation nikachukua kameza nikakaweka upside down Kwa couch. Kuinama nkaona mattress chini ya bed. Nikaipull kisha Fei akaruka Hapo. This tym round sidhani tulifika threshold. Hatukujua tukidoz. Tuliamshwa na knock knock kwa mlango. kuangalia wall clock ni 11:30. I think ni skele.

Skele adai anarudi afta 30mints. I swear that cube smelled like zile teargas za tym ya okoa kenya. As Fei went back to sleep again i took tym kuangalia my Dingdong. Wah…nikama imescratchiwa na sand paper.
Kumbe murio niwiriagira(sweetness eats up itself)

Wat a f**k???
The beginning of my problems…nipewe Njung’wa niketi buana.

Yaani ulipata ukedi?

masaibu pale Kwa nurse nilipoenda check up. lakini alisema mashine iko sawa

Limme bookmark this,nitasome weekend

depends time uko free bro. kip following

malisia hekaya

Iko jikoni bro

Hapo sawa lakini maliza hekaya

Such a long prose on a weekday!!! Hii tutasoma lini??? Ebu priss do a synopsis!
.
.
Na kama ni ukimwi!! LUWERE!!

Hekaya fiti lakini hapo umenoa kidogo.

huyu asipewe kiti! hekaya smart. Reminds me of my sojourn in Mathare North Area 4 hapo karibu na Bachelors.

As Fei went back to sleep again i took tym kuangalia my Dingdong.Wah…nikama imescratchiwa na sand paper…
In future, tumia hii.
[ATTACH=full]100583[/ATTACH]
…and you’ll be good to go…again and again and again!

Hii nitasoma jioni nikiwa juu ya Pilsner.

I stand to be corrected. Niko mgeni hii kijiji

seen. thanks

Thenya?

Where do you usually find it? Hilo ndilo swala nyeti.

Between the two top front teeth?

Of course. What are those teeth called?

Incisors? Kumbe this is what we were looking for. I thought I was getting a Gikuyu lesson :D:D