Soukous stars msee
Instrumentals bomba kabisa.
Ile ya kwanza imenikumbusha local dances za kitambo, time when we used to borrow tapes by exchanging, you borrow five, you give me five. My Good bukusu neighbours waliitamka " combact".
Yes rasta angusha 400 year Hugh Griffith.
Hiyo wimbo ya Soukuss stars Nani alikuwa amecheza solo guitar originally? Was it Dally Kimoko or Diblo?
Souvenirs Avec le maestro de la guitare Dally kimoko…
Exactly