[MEDIA=twitter]899646450501435392[/MEDIA]
how many times will you be told this isn’t Kenya?
Hii jama na @wonderful wonder wanakuanga slow sana. Hii tuliona lini?
Where did I say ni Kenya? Najua ni kwa Museveni.
Mtu husema vitu kama hizi na handle yake ya ukweli. Pana ogopa.
Sasa hii na handle ya nani?
Wewe ni fake tu kama avatar yako. Wewe na ile ng’ombe ya Museveni inajiita @wonderful wonder .