Swara zingine Wacha tu

Unashindwa nini huwa mbaya saa zingine. Uko shughuli tu zako, ume focus na barabara tu, ume keep distance tu venye uliambiwa. Uko kazi tu…alafu…

[MEDIA=twitter]1618918776484806656[/MEDIA]

:D:D:D:D:D:D nilikuwa nashangaa hizo ghassia zimetoka wapi kumbe ni nduthiman na upuss yake

Final destination

Nduthiman safari hii hana makosa tarpaulin ya lorryndio imetoka kuwafunika.

:D:D:D:D

:D:D:D:D:D hao nduthimen ni @Wanaruona na bro yake @Ngimanene na matharo .Hawanaga akili ndio maana wanafuatwa na maswara kama hizo jameni

@Wanaruona anaendesha Peugeot 504 pickup aisee … KAA 5**J. Heshimu bondia … nanii

Maombi mzuri Mimi bado natembea Miguu kama siafu. Nivutishe form ya kuiba ng’ombee at least nishike Suzuki alto.

Inshallah…

Jamaa anakuaga quack dentist.
Wale wa akiona askari kanjo anatokea mlango wa nyuma never to be seen again in the clinic.
More reason why maswara ndio zake

Bana :D:D:D

Wakati aliona chandarua kimefunguka mbele yake angetoka hiyo lane haraka kama umeme. Pikipiki zipee lori space. Alikuwa karibu sana, ndio ikawafikia

Alikuwa na siku mbaya

Illiterate fool , hio ni accident sioni haja yako kucheka. Cover ya lorry imefunika duthi man akakosa kuona . Kama ingefunika windscreen ya ile maruti yako na slutmamaclichy mkienda kayole pia mngepata ajali . Shenzi

Kuna vile mienendo fulani huvuta mikosi:D

Kabsa hasa za kudhulumu wengine. Mtu wa nduthi is very uncouth, atamtusi mtu ilhali yeye ndiye amekosea.

Na pia kuna upumbavu mwingine wa kujiingiza hatarini ndio mtu aonekane “haogopi barabara”. You find some boda is carrying 3 people, he passes on your left very fast, then he starts doing stupid things like using his phone, letting go of the bike and hanging down one arm, or sticking out one foot; sandwiching the bike in a small space behind a truck and in front of another vehicle. Many die because of these simple acts of bravado, coz their riding habits place them at risk.
Lakini hawaambiliki, they know it all. Honk at him and he’ll show you the finger, so you just choose to live, and let die.

Ndio maana huwa siwa hurumii wakiumia wakifanya upuss.