"eh semeni warembo???radar yenyu ni gani hamko chuo??"nimeuliza mmoja wao kalikua kabrown hiviii kidogo ni chocolaty pia,tuasset asset(haga,ass)twa kuchocha na lips mhhhhh lips swafiiiiii.
Wametushow niaje walipatikana wamesneak na wamechujwa morning.Wamezurura tu tao wakitafuta fom ama uradi hivi hawadai kuback mtaa hyo day.Irieeeee,tumeangaliana mabeste tukaitana meeting kando.
Hapa hivi ni tucheze kama sisi tukakubaliana.Pesa za lodging kando,za kuingia ulevi kidogo kando na tukawashow ata wasitense “leo tuko na nyinyi kama…”
Kila mtu na wake.Mimi na uyoooo mmoja leo shuma italala ndani na hiyo njaa yote ya kufungiwa shule!
Tumechukua funguo za lodging tatu itabidi watu washare na tukaelekea wapi…club.Bouncer ni mtu wetu tukisneak kuenda jam sessions na rave alkua
ashatutambua.
Mzinga moja na kwota kwa meza,hii pesa ya wazazi thoh nliuza makuku pia nkiwa chuo(story of another day)Wazito wakichafua meza sisi ni kusugua ndio tei isiishe mbio sana.
FFW》After kiherehere saa sita pombe kwisha…twende tunyanduane.Madem wako tipsy na wet ka kitu ingine sitaki kusema.
Kutoka hivi tu,land cruiser GOK,wanaume kwa kabuti na tumesonga kiasi."Vijana kujeni hapa!"Hapo ndio tulianza kusonga sasa mimi na my palz tunajua madem wako nyuma wanakam.
Tumefika lodging kucheki nyuma hizi mbishes kumbe zilirudi club,haizuru.
Acha tuwangoje tuone kama wanakam.
Ni 4am…hawajakam…