swara za nunu.....tbt

Hakuna mtu hapa haijapitia highskool…I hope…maybe some can remember them heydays warelate some might not.

So,nkiwa form 3,fom skuizi naskia ni bom tatu…apo sawa.Kuna hizi setbooks tulikua tunasoma na time zingine sijui mamode waliona hatuelewi wanaamua pia mzione ziki actiwa live.

But to me na crew mambo ya kuwatch live tuliachia wale wa afro.So on such occassion tulikua na two main agendas…

1:Kulewa na kuiva kama priority
2:Slices kutafutwa kwa udi na uvumba…kama hutafika threshold chukua kenye iko,BJ ukimkuta na vidole

Siku imefika…nguo mpya za form one ni kupita nazo.Wale wasee hukaa kabla waoge hiyo siku wao hukwama kwa shower.Apo ndio unaskia a whole dormitory inasmell unique perfumes hujawai smell.

Kumark register mkiingia kwa gari.No pressure.Gari inapeel out of the gate ya chuo na that freedom atmosphere inakuhit.Soooo different from the atmosphere ya chuo.Hapo ndio wanaume wanatoa vichwa nje ya diro kelele watu wa village wanajua wafungwa leo wako huru.

FFW》Tumefika kwa hall ya kuwatch hizo vitabu live.Kama majogoo kwanza ni kuspot a target(skirt),analyze target,formulate an attack plan then strike.

So mimi na my pal tumespot two chiqs wakitulola tu!Tumenod affirmative.Kila mtu ashajua attack target wake.Tumetoka crew na tukawaendea.

Nao pia walikua idhaa yetu niaje juu kidogo kidogo watu wakiingia live novel movie tumewapeleka private place,toilets.

We both on a similar vibe.Nikimunju my pal pia uko ako mate.Kidogo vidole zimeslide beneath my chiqs dress.Nimetumbukiza uzito ya two fingers hadi final destination hadi akatoa kamoan.My pal pia huyooo ameland zake shimo ya nyoka.

Watu wameanza kutoka,ni lunch.So tumechora na hizi vinyangarika tunakam na tei tumade what we started,wametii.

After a long lecture ya mwarimo sijui msipotee,msikawie,msi blah blah blah we were released twende lunch.

Sisi hao kwanza kwa peddy moshi one two.Then tao hadi wines ya a pal tukatoka na FH mbili.Radar safi,machoke kwa rody polepole tukichokoza.

Tumekaribia gate ya hiyo hall tukaficha tei bt kidogo tunaona kama ni mode wa English ametungoja nje anakaa uneasy.

"Mboys where hamve u mbeen…mnanjua sai ni saa ngapi…"ameanza"kwanza mnanuka fobe"Apo alitoa simu akacall discipline master akimshow everthing.

Akashow dere aturudishe chuo very fast.Apo ndio nliona ma colgate zikitoka from nowhere.

Tukapull up back to gate za jela.Atmosphere ikaanza kuchange.Mafala wa kujichocha wakaanza zile za ‘manze hizi ni gani mapero watanimada’,na hapo tukakua received na discipline master.

9 Likes

So discipline master aliwa radicalize hizo ma tanye zenu?

4 Likes

hehe…lakini mjamaa @bjurmann nmecheki story ziko na tanye na BJ hukosangi…kuna kitu unajaribu kutushow ama? Vunja kabati bila kusumbua

8 Likes

Cheki, Hawa wasee Wakiwa training hawaonangi madem …so kazi huwa kuradicalizeiana … huchekingi anakuanga na ushoga sana?

4 Likes

@leviathon hii hekaya umeruka very crucial details.

  1. Ulipigana mucakwe ama la
  2. Vyenye @bjurmann ameulisa tunangoja jibu
4 Likes

The only thing i can relate to hapa ni the freedom atmosphere mkitoka inje ya gate na kubuy tei, though we weren’t stupid to indulge before we got back…

1 Like

Reminds me of the PK gum days.

1 Like

Wewe ndiye uvunje makabati. Kwani vijana huchapwa wapi Na discipline master ikiwa sio tanye?

2 Likes

@bjurmann ujinga ndogo ndogo ndio huwa sipendi kaa kama mwanaume amekomaa shtoopid…
@kush yule mnono suspense ni kitu tamu sana

1 Like

Hekaya iko swafii… Reminds me nikiwa high skull tumeenda drama festival mode akanibamba kama nimelewa but niliruka story. Luckily walikosa evidence ya ulevi

1 Like

@Sterphyle mimi sasa kesi zote nlikua napatikana na effidens

Maliza hekaya what happened in school

hiyo ndio next natafuta time afte niweke

wacha kublame nunu… ni nyinyi mlicheza ovyo! i could swim in booze and not even a sherrif shepart would detect ata ikiniramba!! i even opened a ‘wine & spirit’ joint from my box!!!

1 Like

Heri wewe uliwekwa kwa basi. Sisi tuliekwa kwa boot.

Hekaya timam lakini.

@msenangu baite hizi vitu tulifanya baba angusha hekaya na uache kujipiga kifua apa

threshold,bisha…threshold tano tena,…mbisa

Nyinyi wote wawili leteni hekaya

2 Likes

Discipline masters…what was discipline masters???Kamwili ka kuchocha kama kawaida and mostly DP’s.

Gari imesimama na mlango ikafunguliwa.Mnashuka one by one ukiskia vibare tu!

"Pigaaaa magotheeee…"in a sluggish voice anawika,“nyinyi ndthio wanaumeeee hii shulee ehhhh!!!”

At my turn nmeshuka akiniweka ngumi ya mgongo,“Levianthon si nlikuambia hii shule hutakaa,wewe ni wa kuenda!”

Funny enough,nlikua to relaxed on such pressure situations sijui suspension,expulsion,BOG…nimesmile tu

"Na huyu mjinga anacheka!"amewika and the other guys wameanza pia kupasua…"hawa wajinga ni kuenda wanaenda na wanacheka!"amelia principal akitokea.

Now hiyo shule principal was such a weird guy.Akijam alikua anakuna pua mbayaaaa na hii kidole iko next na thumb,and very fast.At the same moment anaongea like anawhisper loudly so he waz a fuunny guy,never took him seriously.

Tumepiga magoti for a while…a long while tukingoja watu watoke live setbooks.So leo hatutachomea wenye walilalisha fence(kukosa kuchapia mamdenge),haizuru.

You know that situation yenye ukiwa chuo unajua unaenda either suspension ama expulsion na your palz wanakubeba kama hero…kidogo wewe ni Liyongo.So wanaingia wakipiga kelele kiasi but wanatishiwa watatujoin wanatulia.

Ffw》Kama umekua highskool unajua tu procedure ya kufukuzwa.Wanawaita one by one sijui maswali kama wao ni CID.Mimi mtu wa kuongea mbaya ni letter very fast.Kesi iko stipulated kwa lei for the parent,haizuru.Young blood apana tambua

Tulipigwa suspension zetu like 5pm,pocket money yote iko kwa shule na yenye uko nayo.Wale wametense shauri yao sasa ni ywende town kusaka mat.Mimi shirt moja ya mtaa nlkua nayo nikaweka kwa ngozi na tukaenda kukatika maji.

Apo ndio tulipatana na madem wa another skool wamefukuzwa pia…Na swara zikaanza apo!

3 Likes

Sasa ii suspense inafanya niskie kutafuta uyi discipline master nimdiscipline cz nikaa hakukudiscipline…malizia hekaya noogle…nice hekaya tho

3 Likes