[ATTACH=full]365051[/ATTACH]
Mtu anajuanga aje number amepigiwa nayo ni ya Telkom, Safaricom au Airtel? Watu wanatambuanga izi vitu ni kama kuna daro moja ya lower primary ilifunza na nilihata. Pic not related.

@Unataka kujua ili?
Weka Trucaller premium at only Ksh90000 per year and you will be sorted here
Fuck you mate.
THREAD CLOSED
Only you and @Huwa Namwaga Ndanii can afford this…