Swali ya Kenya ports

Hivo kina Uhuru waliuza ports to Dubai inaendanisha aje na ile story ya hizo ports ndio collateral ya China loans.

Kenya iki default ma loan repayments Chinaman anaweza chukua ports zikiwa na wasee we Dubai ?

Ichaweri thug should be prosecuted and jailed

leta sale agreement tuchambue, na hiyo collateral pia,

Ikiwa ata contract ya SGR hatujawai ona, ports sale agreement tutapata wapi ?

Port ilieenda my fren, Dubai firm is managing it on behalf of the Chinese.
Hapa 254 tuko land locked kama Uganda

Port ya Mombasa haisaidii wakenya kwa chochote. Ugandans wanapata mizigo yao kwa bei ya chini kuliko wakenya. Port ni poa ya watoto kusoma kwa vitabu za geography, lakini haitusaidii kiuchumi kama wakenya

Its impossible for the Chinese to have some non Chinese managing anything for them.

The Chinese would consider that kind of thing national humiliation…like… kwani hao wenyewe hawawezi ?

The concept of critical national infrastructure being managed by foreigners only exist in Africa.

Next…

Dubai firm was contracted to do the dirty job and do the P.R exercise to avoid a Sri Lanka situation and public humiliation of Chinese projects in Africa,hii kitu is simple decoy setup