swali tu

Uhuru has held several pressers since the covid19 descent on Kenya, 99% of them the deputy president has been absent kwani kunaendaje hawezi mrushia hata moja a present na ministers , ukweli Lord of poverty alivunja ndoa

Nikama UG M7 anachapa presser zote

MUSEVENI does not want anyone to outshine him

Is there even a Vice or deputy president in Uganda?

M7s wife is the deputy president

Kuna wife

Ruhakana Rugunda Prime Minister
[ATTACH=full]296284[/ATTACH]
Edward Kiwanuka Ssekandi Vice President
[ATTACH=full]296286[/ATTACH]

Sio presser tu. Hata press ups!!

Ruto ni designated survivor.
Imagine corona ipate kina Uhuru na Matiangi pamoja juu walifanya same press conference, ni Ruto tu atabaki juu hakukuwa hapo.

I have been hoping COVID19 would go to town on the assses of a healthy number of our politicians, especially pale juu…on pombe-bangi¹, mwizi-murderer² & uchawi-kura³ for instance…mda bado iko. #dreamsarevalid

Ile kitu hamjui ni kwa io ndoa wife alikua ashajipanga mapema, watoto alizaa nje, sio wa Uhuru, time ya kuondoka ataondoka na raia, Uhuru abaki na chama na aibu