Swali Tu waKUMbwA

EV ikizima kwa jam ju battery imededi mtu atado na haiwezi toka na kamtungi?

1 Like

It tells you how long your battery will last ujipange.

2 Likes

Nunua petrol generator :green_emoji: the irony

2 Likes

Kuna watu wanaNjua magari zao. Gari imeingia Battery saver mode na raiya inawakisha Heater. We’ve seen them in this forum. @Kahawa_vajo @DukeOfKabeteshire and some really foolish folks walk on this earth.

8 Likes

EVs ziko na manual overdes. Hata Tesla ziko na kitu kama Reset ya ruduancy.

Kwa jam ya kanairo hakuna kujipanga. Malaya akina @cortedivoire akumbuke alimpiga kiraka ya 150 amshike mashati kwa road akimwita mwizi wa kuma, jam inashikana

1 Like

@Coolibah you add water in the EV. It will boost the battery. Disclaimer I got E in chemistry but Group One metal are explosive in water.

3 Likes

Najua ulipata A kwa CRE so you apply the miracle at Cana approach

4 Likes

Mtu aguze vijana wa mama Aone Moto :grin:

Pure EV (not hybrid) ni kujipanga. Bought a Nissan Leaf ya job and all the trips it does ni Kiambu Road, Two Rivers, Village Market, Kiambu Town. Furthest Nairobi CBD. Siwezi jaribu kwenda nayo Thika ama Kenol. Yes the declared range might be within those limits but jamaa wa nduthi anaweza chotwa ukae kwa jam two hours hapo Wíteithie

1 Like