Swali Maneno Ya App Development

Saidieni mzee analog hapa. Siku hizi naona vijana wanashinda kwa computer wanasema ni apps wanajenga. Ni nani hununua hizi apps ? Mimi sijawahi nunua app ama kutumia app ya mkenya labda kenyatalk na mpesa.

:D:D:D:D

Hizo wanatengeneza za kucon wakenya wenzao

Tauren unasumbua. Meffi wewe

With an internet connection you can access global clients…not just sumbua Kenyans.

@Thirimaii hebu kam kiasi usaidie hii ninja. @opo chunga usikamuliwe mkeer.