Swali kwa "wanalumumba" hivi mmekuja huku kufanya nini?

Nauliza mmekuja kufanya nini? maana mnayemshabikia ndio aliyezima mitandao.

Ukisikia unafiki ndio huu.

Tena unaafiki wa Mwendo kasi

Mkuu inabidi tuwe nao huku ili tushindane kwa hoja, tusiwe kama wao wanaogopa hoja na kukosolewa.

Malaika kazima mtandao teh

Karibu ukimbizini Salt,.

wamekwapua mpk ka avatar kangu, mule bungen kumejaa mabunda na pepeta za ifakara.

Ahsante sana

Unaambiwa popote kambi…

Ila sidhani kama hata wao wanashabikia haya mambo kwa matakwa yao…

Si unajua pale unapokua mwanafamilia, kwenu hata kama panavia unashangilia hivyo hivyo…

Cc: @Mahondaw

Sasa na wewe moderator usiwe mnafiki sasa ndio mmeedit nini? ilihali nilichokiandika ndicho hicho.

Hatukatai sasa mtu kama sumu na motochini wanakuja humu kujaza takataka za nini?

Hawa ni vichaa tu, huwezi kumshabikia mtu anayesema kupost video ya sherehe yako lazima ulipie, utakuwa ni punguani tu.

Jiwe limefurahi likidhani limetukomoa kumbe, limeba shimo la panya kwa mkate.

Hahaha ungeigoogle hiyo avatar mkuu?

aisee nimeitafta sana nimeikosa, ipo unique kdg iliku n kijitoto cha sokwe kimetupia t-shirt na pensi. kama mtu ukifa unafufuka tena half unarudshwa ulipotoka mimi bora nisifufuke kwa kweli, ila si kwa nchi hii.

Naipata mkuu.

Jiwe limeharibu nchi, maccm menzie nayo nasikia yamemgeuka huko.

Wamekuja kuwanga, mchawi uwa haachi kufuatilia labda aone umekauka damu

Tumehamia eatel

acha waje wana umuhimu wao pia!

Madini ya jf ni zaidi ya siasa, ila basi tu.

Mwaka tunaumaliza vibaya
Nalog off

Vipi huduma za huku unazifurahia?