Naulisa, kwani Kenya ni ya kabila moja pekee, coz hio task force ya Uhunye na RAO naona ni shiny pekee?
Apana , ni kabila mbili ,pia kuna wakale. HAPPY ??
It’s not too late, ikiwa Omo-Ndii was able to change his tribe, you can also change yours.
After all, you’re the only one who knows on which side your bread is buttered!