Suzuki Alto

Wazito, car gurus and @wheelz , hebu niambieni the pros and cons of this small car . am thinking of getting one or two for sales men for daily milkruns coz hawabebangi mali mingi

Stick to the basics. Nissan Vannette and the likes.

1 Like

Hii alto in poa…I’ve driven it,though not mine,for a while na consumption iko low…very low

1 Like

IWOBI anauzaaa sanaaaaaaa

2 Likes

Anko peleka mpira hukooooo. Na whoever you are rooting for , ashidwo

Ebu explain coz mi huona wahindi wakitumia sana hii Alto…must be a good reason why they do

Compared to Probox, howz consuption

proffessional box aka probox ziko bei moja pale sbt

1 Like

Very low consumption…nkama kutumia nduthi

1 Like

huto tuvitu tuko 660cc …hata breath yangu inaweza kuirun na vile nimetumia shisha hifihifi

1 Like

Huyu IWOBI anagonga mpira unaenda Kama ule wa makaratasi ikinyeshewa.

Uwezi compare consumption ya alto na toolbox

Mkebwa,ungeeka mbica ningeelwa unaongelela ngari gani…

1 Like

Boss, hii google yako, hii google yako ni ya ku.search porn pekee?

na umetoka shimo gani hujui suzuki alto? la tewa?

1 Like

Gari iko poa. Buy it!

1 Like

What else is google for? Searching for maleso?

Expe

car sniffs petrol from exhaust fumes of other cars kwa jam very fuel efficient