Suspense

Did baba say 10am or saa kumi? All in all, I pray for peace in this nation.

1 Like

-Ndoto zingine aki ni mbaya… Niliota nikidrive ma new Mercedes Benz alafu ikakwama kwa matope… Ikabidi niisikume… Kuamka sai napata kitanda kitchen:D

Pale club
Bouncer:niaje buda
Mimi:poa sana
Bouncer:na hii mchanga ni ya nini kwa mfuko?
Mimi:kuchafua meza:D:D

5 Likes

Ni kama alisema saa kumi na tisa na dakika themanini na tisa!!! :D:D:D

Lakini Raila ametuzoea sana. Plus hii suspense yote is immensely hyped by our tv newscasters!

5 Likes

uyu jamaa akipewa media black out kwisha

our media are for hire bure kabisa

3 Likes

Baba has to keep everyone waiting coz ako bila plans. He makes them on the fly.

1 Like

Wanashidwa ni nani atakuwa darling wao sasa

kenyan media walinibore ile siku walipiga kambi kwa airpot ati wanangoja POTUS

2 Likes

cameroon naona opposition leader amewekwa 25 yrs kamiti :eek:

https://www.youtube.com/watch?v=-gH5zqWvqBI

No one has an idea on what to expect. Even his followers!!

Watu wengine hawatawatch news, na kitunguu haitanukia. Media houses are in a catch 22.

1 Like

Hio country, president anashindanga abroad.

kuna vituko sana uko

Unconfirmed reports say that media houses have walked out of the NASA media briefing due to an assault on a citizen journalist.

3 Likes

Unconfirmed reports: NASA calls off press conference after “goons” attack journalists.

And there you go! So much about the big announcement!

1 Like

The big announcement is that there will be a big announcement tomorrow. :D:D:D

1 Like

Kumbe he meant saa kumi :D:D

https://www.youtube.com/watch?v=-gH5zqWvqBI