Surviving in Nairobi

Hio biz yake ya kuuza ndio imenishangaza:D:D

Eishhh huyo talker ni mkali,he not taking advices rightly,responding to each with a jab it requires.
Ako na vayolence kibao,lakini ataenda tuu,he is not a regular

Na wewe ni mkali.Wachako vayolence,saa hii helmet haivaliki

Amechungulia akaona vayolence ikabidi ame abandon thread

This is the best thread I have read today :D:D:D:D.

Mbona ile siku hukuja pale miale banae.

Shughuli banae,nilienda Barnabas pande za Kephis shughuli zikawa mob

Kimakia leo si utokee hapa 67 Airport Hotel tupige shughli kiasi

Uko serious,saa hii hakuna kitu nakataa,ata kama nikupasuliwa msamba bora nilipwe vizuri niweze kuishona baadaye…drop pin manzee

Utaheshimu elder @magreb kinyesi ya wahindi wewe

Msee ulienda uko Kephis nyuma ya KDF? Men I love that place imetulia tu na izo milima ziko hapo makes it very scenic

Ala. Mkuu kumbe uko area eeh

Low IQ ndio inakuzuia. Blame your parents

Ahhh you know the place,i ride bike around that place and sometime go for milk huko Kephis asubuhi…just imagine baba Abby wanted to nyakua that place from Moi forces gals all the way to the Mbaruk river

I know that place very well. Nimefanya trials kadhaa za ngano apo. You know what a thought actually crossed my mind. I was wondering hiyo area venye iko very fertile ivi akuna mwanasiasa ashaanza kumezea. Kumbea Arap Mashamba halali. Iyo please iko very cool and calm.

Kuna wasee huwa radar but ni clique ya kina Konyagi,sidhani itabaki in public hands for long

Wanapanga kunyakua adi izo plots za trial adi pale chini kwa mtoni ama? Na iyo barabara inaelekea shule kwenye kumepandwa miti on both sides kunakaanga kugiza ivi niliona kuna boma apo

Kuna some bigshot wa siku za Mzee Jomo ako na home hapo,i think anaitwa Mburu Gichua

Ye ndo ako na iyo shamba iko opposite MFA?

Kunyonga an kumanga mamalaya