Wanakijiji mlisurvive aje after campus considering umetarmack for sometime on top of it hakuna pesa ya kuanzisha biashara mtupatie hekaya
Avoid lanyes.
Okoka kijana Dunia inaisha.
Wewe unasurvive aje don’t be lazy unataka hekaya na hauleti hekaya shenzi
KAZI iko Kenya but it depends on your pride. Just because you have a University degree, don’t mean you can’t go to industrial area Kwa muhindi kutafuta Job that pays 500 per day. Pia Mimi I was on your shoes. I tarmacked until I just lowered my pride na kuenda Job Kwa muhindi. The pay was little but the work was hard work. I used to quite everyday but njaa na kufungiwa nyumba ama kuombaomba pesa sio rahisi. Just swallow your pride and take any job that is available. Pia usikuwe na kiburi. Salimia hao mawatchmen that are guarding those big places. Like for me, ni Watch man mwingine hapo ndio aliniokolea nikapata Job poa hapo Summer business park. Just let go of your pride
Weka pride kando uanze ku karanga chapo… kuna thread niliona vile wasee wa chapo wanamake mbirrions. Uza jaba, Yutman lazima wachew daily, enda post pata baraka za OCS anza kuuza fangi na shash… profit marjin iko juu na hizo mihadarati.
Huku inje ni vile una cheza game yako…Huwa na patana na my former class & school mates, personally juu ya nature ya job nawa soma psychologically and detect if their doing ok or kupambana…very few are doing ok the rest Wana pambana…what their faces tells me kwa wale Wana pambana is,how did this Jamaa reach this level yet he wasn’t mtu wa kitabu coz they find me niko hapa na pale na siko mguu…huku inje ni how you play your game another thing ku humble yourself na never show off flashy flashy on social media niku kanyagia mambo
I work at a highschool kama tutor but sikusomea teaching na teaching is not the direction I want to take
And what is it that you majored in?
Most importantest saa I ni hauko idle
Tembea ukiuzia wados fikra za ile FY project proposal yako, utaomoka.
Sasa nduthi bajaj ndio kureach this level
i was here too after campus…
i quit after one morning the secretary came after me to the comp lab n said:
‘teacher niaje? princi anakuita kwa ofisi yake’
when i got there:
‘mwalimu habari,you have arrived’ (i used to show up in the morning depending on how earley my lessons will be,so i thought she had a problem with my timings,i could leave as earley as 3:30pm to go n drink at a certain pub)
‘reports reaching my desk claim u r not doing good with my girls…’
i have never recovered,i have never understood whatever i was doing with her girls…i nowdays avoid girls n single ladies laughing laughing with me anyhowli
so go n teach like me,from there opportunities will come
wueh! wacha tu mdau just keep your head up na akuna situation hautatoboa
Bado sijamaliza shule Mimi kanono
You shill when in campus ,by the time you graduate uko mahali pa kujijenga
Hapo saa inamaanisha nini mkuu
Huwezi kuvaa CD wakati umemwaga ndani kabisaa na ukasikia Kuma ikikunyonya the last drop
I concur with the above but also position yourself in places where opportunities are. Kama church. Several of my friends and one relative got prime positions from contacts in church.
true ,
-
network as much as possible… kwanza among your classmates…some are from well off families and will be very comfortable linking you with some hustle opportunities if they are there.
-
come out here and solve people’s problems and be honest(this is really lacking), be someone who can be trusted.
Hapa sasa naona wisdom inaingia sasa keep it going