Niaje wasee nguyaz… nauliza Plastic surgery ni how much mtu akiwa na plastic yake mwenyewe?
Enda pale NEMA ukawaulize hii swali ya umeffi. Brare senj
Waniambia nyoka apo mbio
Kunywa maziwa/Thufu
a mosa deh
Yes ayah adi culture…
long time no seeeing …ama uko dodoma bado:D
Inategemea wapi
Ni sare… Choma Halafu ikiwa liquid jibandike pap
Uliza yule jamaa wa chomelea next time akipita mtaani.
Nko kuenda baringo saa niko place ina ji iya kampi ya moto
Nitafutiwe Bible wazimu awekelewe
Sasa ndo umesema nini shenzi