SUPU YA PWEZA

we mkikuyu ! si koloboi ni koroboi…nugu wewe

Mii ni wa kirinyaga ni sijui hii. I’ll pass it to wakikuyu wa kiambu.

Magufool hii si umetoa pale jamii forum. Acknowledge the source.

Naona Kiswahili kimefukuzwa hapa.
Una bahati sana hatuna Introvati wa Kiswahili.

Wakenya dah. Katajinjo/kolobohi/korobohi/kitoajasho … Yote sawa

1 Like

ES, Magufuli and Tz would have saved a lot of money had they asked you about “Everything Pweza”.
Do they have to reinvent the wheel every time?

1 Like

K

jiulize mwenye uzi huo ni Nani??

1 Like

UPUSSY

Hun, si u know I can’t fail you hiyo sector :stuck_out_tongue:

1 Like

So ulimaliza na @Mzee mzima ukamchunja sasa umeanzana na huyu

1 Like

Huyu

Mr.D niwangu Wa milele

Kila Siku threshold na zaidi

Kwani hii masai ya arusha wakiimba supu ya pweza ♬ ilikua na shuka.

:D:D:D