[ATTACH=full]52326[/ATTACH] Wafamasia katika Chuo Kikuu cha Muhimbili wamedai wamethibitisha kisayansi kuwa supu ya pweza inaweza kuchochea hamu ya kufanya mapenzi kwa wanaume.
Kwa miaka mingi ilikuwa ikiaminika na watu wengi hasa wa ukanda wa pwani ya Tanzania na Afrika Mashariki kuwa supu hiyo inaongeza hamu ya kufanya mapenzi lakini kulikuwa hakuna uthibitisho wa kisayansi wa kuunga mkono madai hayo
2 Likes
[SIZE=6]U[/SIZE]
Ukiongeza supu na koloboi la bob Marley , basi halima na walidi lazima walie. Kama wewe ni wa ugali na karai/mchicha, basi hauna mwelekeo. Nguvu za kiume zitaisha ukiwa 50yrs. Tafakari hayo.
1 Like
Ni ‘Waridi’
1 Like
[SIZE=7]P[/SIZE]
MAKU fool.
Tizi haliwezi na ugali
1 Like
[SIZE=7]U[/SIZE]
tulisema tuwache kujiongelesha
2 Likes
We proved long ago.
Magufool you are still in the 20th century.
6 Likes
Sikujua kaka. Samahani
1 Like
[SIZE=6]S[/SIZE]
Huyo scrotum hapo juu anajaribu kuharibu thread langu. Wacha ajibambe. Pia wewe. KWA MARA LA MWISHO MIMI SI SCORUTUM.
1 Like
[SIZE=7]S[/SIZE]
@admin tafadhali Toa huyu scrotum hapa
1 Like
sawa bingwa
[SIZE=7]Y[/SIZE]
MUHIMBILI ni nini ?
watu wa kirinyaga county wakujibu.
muhumbili na loyco ndio zao