Supu Ya Pweza

hio umetoa wapi?

kubishana na supu chokora kama wewe ni kujishusha hadhi.
mie mtu wa cheo na haja.
i can still laugh at what @Nefertities told you that wacha kumkamua even if you are dewormed,dehorned and disinfested hauwezi kuliwa na mbwa zake…

5 Likes

me nilikunywa kitu ikaanza kukaa nikaa itatoa tentacles nikasare

from where we come from, Mbogoro ni rickets kwa kimombo au kizungu ukipenda

from where we come from, Mbogoro ni rickets kwa kimombo au kizungu ukipenda

1 Like

sasa umeona hio ni matusi ya maana sana?kamwanaume kanyeri hakatakiwi kubishana na mwanaume wa kabete

hehehe…
i imagine wakikurusha kwa cattle dip utoe kupe ngunia tatu.
wanaume wa kabete wana nini ya maana…
kila mtu ni mwanaume kivyake

Nyama ya pweza huwa inatafunika vizuri.

Pweza wangu ni wa kukaanga au wa kuchoma kisha namla kwa sima, wali au chapati. Mimi supu ya pweza sinywi. sababu ni kuwa dushelele litasimama tisti kwa uchungu na lazima umtafute demu ambaye kitandani sio gogo au utaumia usiku kucha. Hata huwezi piga dushelele lako punyeto kwa sababu ya maumivu…dawa tu ni kula uroda. Supu ya pweza yawafaa akina @FieldMarshal CouchP na @gashwin. Ama wanaume wenye wanaishi maisha ya kibachelor kwenye ndoa kama @Ice_Cube.

12 Likes

Huku tunaipata wapia braza

2 Likes

naweza chapa wewe head butt ingine ya kimataifa

2 Likes

Ni swali au maoni yako?..haujaakifisha sentensi yako kwa kiulizi lakini naona kama swali.

Zinatokaga Sana Sana upande ya Malindi to Lamu. Ikivuviwa huwa inapigishwa kwa jiwe kabla ikauke

City market… Waambie wauzaji wakuelekeze kwa duka la samaki wa baharini. Samaki wote wa baharini wauzwa hapo…papa, ngisi, mkizi, tafi, uno nk.

2 Likes

Maoni.

1 Like

Jaribu City market.

nani kakudanganya wengine wetu tuna upungufu upande huo?

jana hili neno si nilitafuta kwa akili mpaka mwishowe samaki nikamwita kitu chingine…ahsante…

Sasa fiudi msahal atasaidika na niliskia anamwaga powder

5 Likes

Hivi karibuni nitaanza kufuga pweza katika bwawa la Nairobi (Nairobi Dam)