Supu Ya Pweza

[ATTACH=full]26942[/ATTACH]
Ukitembea katika mitaa ya Mombasa na Pwani kwa jumla, utaskia wakaazi wakisema wametoka kunywa supu ya pweza.

Licha ya kwamba wengi wanamfahamu mnyama huyo wa majini kama kitoweo, umuhimu wa mnyama huyo kwa wapwani ni mkubwa mno baada ya wao kugundua kuwa ana faida zaidi katika maisha ya kila siku.

Wataalam wa sayansi wamedhibitisha kwamba nyama ya pweza pamoja na supu yake inaongeza madimi muhimu kwa binadamu, na la kuvutia zaidi ni kwamba husaidia kuimarisha nguvu za kiume.

Wanaume haswa hupenda kuitumia huku wakiamini kwamba inawasaidia kuwapa nguvu wakati wa kufanya mapenzi na wake wao.

Nilikutana na baadhi ya wavuvi mjini Mombasa na kutaka kujua ni kitu gani kinafanya supu ya pweza kuwa maarufu sana kwa wakaazi wa eneo hilo.

“Hapa Mombasa ukisema umetoka kunywa supu ya pweza utashangaa watu wakikuangalia mara mbili. Uwa tunaamini kwamba inaongeza nguvu za kiume na hii ndio sababu huwa tunapenda kuitumia,” alisema Omari, mmoja wa wavuvi hao.

Wakaazi hao walisema kuwa tofauti na watu wengine wanaotumia madawa ya kisasa ya kuongeza nguvu wakati wa tendo la ndoa, wao hutumia supu hiyo kujiimarisha wakati wa ‘Dimba Uwanjani’.

“Mimi huwa nashangaa eti watu wanatumia sijui madawa ya kizungu ambayo baadae yanasababisha madhara ya kiafya. Waambie watu waje Mombasa hapa supu ya pweza ndio habari ya mjini,” alisema mvuvi mwingine.

Inaaminika kuwa baadhi ya wanawake hutengezea waume wao supu hiyo kila siku na kuwaandalia kila wanapotoka kazini
Namuomba @Mkufuu aje hapa mbio aeleze wanakijiji vile supu ya pweza humpeleka.
pia ningemuuliza @Wakanyama aanze kuuza hii supu kwa butcher yake.

15 Likes

Hichi kitoweo cha @Mkufuu siwezi tia mdomoni hata kwa dawa…

@Wakanyama anauza supu ya Mende na tugunyu mixed na ile ya bones na foetus za ngombe…

4 Likes

@Wakanyama hajang’amua lolote ambalo limeambwa

3 Likes

hujui wakisa nini ndugu yangu, ukinywa hii supu waweza kua na import tatu per week na wote watakua wamerithika, they will keep coming back for more.
can someone tag @FieldMarshal CouchP

2 Likes

watoka bara hawa.
hawawezi ng’o

1 Like

ata ngoma yake hii hapa.

https://www.youtube.com/watch?v=dpi72QEtzXI

1 Like

Kamwizi niaje?

1 Like

hebu waambie bratha

Tuseme sasa nguvu zangu za kiume ni zaidi ya wastani, nikinywa hii Supu ya pweza, si nitaweka mtu mbogoro?

6 Likes

:D:D:DNapenda sana

1 Like

hawatoskia kakangu

1 Like

Hiyo nikikunywa naweza kamua momo @Nefertities mpaka asurrender

fiti sana the chokosh jubilee schophant.
are you still raping goats before killing them?

3 Likes

Imarisha kiswahili tafadhal

1 Like

stick to your chokora and househelp lane the egyptian queen hakuli matumbo(matua nda)

1 Like

kinyaunyau kikia cha pweza, mwataka mambo hamtayaweza, taarab tamu sana hiyo, wapi @paparazzi

1 Like

Shambaboy tulia

Hiyo siyo Kiswahili. Neno lingine lolote haliwezi toa hisia kamili vyenye nilikuwa namaanisha. Wenye wanaelewa wanajua sababu.

2 Likes

Kikarubo ati ni paka mdogo?