Supreme Court says Wanjiku is Supreme

Niliwashuku…but we are supreme…

unanimous…

Wazito wekeni judgement we chambua…rink prease…

They maintained Wanjiku is kusema in 254…

…the devil is always in the details…they say…tuchambue details…

rink? Detailed verdict by each justice…

Unanimous…wow…surprised us all…

We do have an independent judiciary…wow…heko to CJ…and every justice…

you heros next to Chessbukati…our independent bodies Wako timam

Mimi wakati niliona Isuzu FRR imeingia supreme court nikajua there will be more drama than facts.

Lol hio karatas za kujaza FRR zilienda wapi :D:D

The supreme court set a bar…prove beyond reasonable doubt…that’s hard

Sawa tumekubali JSKS imeshinda. Other than repeat posts kuna content mpya?

Tunaweka nyangau jela…so we improve on future…bado Aug 15 tumalize ubonobo

Gani hiyo banae?:D:D:D? Be specific [SIZE=1]wakisii ni wengi huku[/SIZE] @Eng’iti

Hizi jambazi embarrassed Kenya Aug 15…the world watched as bonobos took over Wanjiku…it can never happen again

Kubali yaishe jombaaa. The earlier the better mean while ngojea kilio ya hustler nation wakisema walichezwa.
Mimi saa hii watu ya hustler nation wakinikopa nitakuwa na wajibu mlikataa elfu sita ya Baba muanze kunisumbua.

Uko na mamioto…kaasia

This twat has nothing more to post.