Supremacy Sounds presents

Reggae Kuruka…
[MEDIA=mixcloud]supremacysounds/flashback-reggae-vol-2[/MEDIA]

6 Likes

Weka downloadable version

1 Like

http://supremacysounds.com/

Bøøkmarked! Am deep inside the woods, i will listen to this soon as i land ‘kenya’

Yaa hii mambo ya kupielo mustuni tulikataa.

4 Likes

Watu Wa siku za missile naeza get missile 26 that was the best mix they ever made

Hiyo ukipata tupa hapa…missile 001 pia ilikuwa noma

Na site flani pia mofayahsounds.com ya wakenya finland ilikuwa na mix kali kali…

hehe jatelo skuis skuoni na tata ya thesaurus? We have been having a field day around

Cash crunch.
Hehehe.

1 Like

Hii ya Youtube ebu confirm kama ndio hii ama uploader anatubeba ‘ufara’

1 Like

One TATA against Madimoni 20 per day atawesako kweri?

1 Like

acha i revive my passion nizitafute. Will share them nikizipata

DANCEHALL MISSILE! - Entertainment - Kenya Talk

2 Likes

Mixcloud
Scroll down hapo missile 26 iko

Tsengiu but imefika missile 53

Hiyo ni missile 62. @emali

Dancehall missile 1- 40 zilikuwa za kuadvertise reggea za nyanza house. Na ingine ilikuwa inaitwa ragga party za ma-riddims.

Hizo hutawahi zipata kwa net. Unless msee azieke youtube vile 1 & 2 zimeekwa.

2 Likes

By the time missile 26 was released walikua washa ingia York house and chemil

1 Like