Supremacy Sounds presents

Mashup 14 - Audio Version…
[MEDIA=mixcloud]supremacysounds/mashup-14-audio-remastered[/MEDIA]

[ATTACH]100783[/ATTACH] Wtf! is this shit.I thought hawa walikuwa wase wa zion sasa wanaspin za babylon system[ATTACH]100782[/ATTACH]

Supremacy hunibamba juu wao hutoa mix mpya like every month

Bpm’s na missile za waras [ATTACH=full]100781[/ATTACH]

Haha Simple Simon plays more fire and hiphop than your favorite DJ

moto sana. @Touchlyrics hivi ndio mtu humix. share na demakubaff

I was also surprised a couple of years ago. Simple Simon’s mixes are actually very good.

since 2007. kuna moja walifanya na Code Red then. it was fire… Industry Takeover or something

sawa. but hii mix ilitokea monday. Ishatoka fashion:D:D:D

industry takeover ilikuwa ya supremacy na dj alikuwa anaitwa Fully Focus

true. but hio ya Simple S na CodeRed iko bado. still listen to it

Kabisa! Hio code Red collabo ndio ilifanya nikaanza kuangusha Industry Takeover mixx. Sasa maBPM ndio zimeshika kushika mbaya…

Kila DJ na genre yake, but Mostly Simple Simon habagui; DJ Juan naye ni mreggae na Dancehall…

[ATTACH=full]100792[/ATTACH]
Lazima ningechokoza Mzitoh @Touchlyrics

Trap lineUp on point…Migos year