Ktalkers, karibuni supper ya leo
http://www.enchantedlandscapes.com/wp-content/uploads/2014/07/sukuma-ugali-790x493.jpg
Ktalkers, karibuni supper ya leo
http://www.enchantedlandscapes.com/wp-content/uploads/2014/07/sukuma-ugali-790x493.jpg
Kwani bell ya supper ime ring already?
Too plain…
Siku hizi kamiti wanapikiwa food poa aje…
na wanakubaliwa kupiga picha, kweli kuna prison reforms
na kweli ni january…tunakula skuma ugali na imagination ya nyama:D…ukikula nyama wewe ni illuminati
Lakini kukula ugali na kijiko ni ushogo
Kwani nyuki hukula ugali na skuma
Nzi ya yellow wapi avocado
[ATTACH=full]26936[/ATTACH]
Wamesema kwa gazeti ya leo (DN Pg9) eti sukuma wiki ya nairobi ni poison:(
Hapa sawa
[ATTACH=full]26940[/ATTACH]
He he he
hiyo ni ugali au ni wembe ya white?
I rem wen i was in high school tulikuwa tunakula izo vtu raw…anyone alisomea Kangundo High school
hehehe…
Njaa ya ukambani inaweza
Fanya ukule anything
@Wakanyama yaani huko hapa na hutu katii hata kanyama kwota? kweli wewe ni mgumu. Nitakulipa kale ka deni ka quota sato
wacha wimbi yako
sina pesa ya spaghetti na @Wakanyama quota … kumbuka ni Januari
I like the way you behave … very mature. Sii kama these male ktalkers fellows