Supper

Since ile poko i pike hii den, leo nmeamua kupika rice na mayai boil…swali apa ni nafaa kula na nn izi vitu??
[ATTACH=full]112152[/ATTACH]
[ATTACH=full]112153[/ATTACH]

Fry some onions and add a little water to make sauce. Dip the whole eggs in the sauce and serve with your rice.
Na hizo sufurias need better cleaning.

12 Likes

Mayai sita buda?!..
Si uta- thefeya?

In the interests of the non Greeks among us.
What is the English word for Guthefeya

8 Likes

i will sir, meaning i should not use nyanya?? i have a neighbor here at least leo nianze na story ya nyanya

Belch

Wueh! Sir @Guru … bindu bichenjanga

4 Likes

Hiyo ni “kueruka”…
I don’t think there is an English word for GUTHEFEYA.

4 Likes

Jaribu kukula na shida uone kama itaingiana…

1 Like

shiet nimesahu kutoa shell ya eggs…saa nimeeka to ivo

3 Likes

Kwanini hii thread iko kwa sex and relationships .@admin we need a new room ya foodies.

Make sauce ya tomatoes;

first eka kitunguu and don’t let it get brown then weka nyanya 3. Eka on low heat till ikuwe na texture ya smoothie. Then ueke dhania but ni optional and Royce cubes “optional” .alafu mix it with mchele.It will give a pilau vibe.

8 Likes

And it becomes @DeliciousShiko ?

mwanamme ni ugali

1 Like

No

bachelor ni kula ile kitu iko kwa nyumba…

9 Likes

Mchele njeri :smiley:

3 Likes

I think it’s “acid reflux”

Kula ivo ibaki story kari kii? Ikibidi ongeza chilli. Na by the way mbona unapika ikiwa peke yako…it never makes economic sense. Upishi achia watu wana familia.

hapana

1 Like

With a bit of tomato puree.

2 Likes

y forget royco cubes?