Superisor

Leo napata call from my colleague from huko kwa mhindi actually nashangaa huyu anataka nini.

Akanishow bana supervisor alishikwa ni mwizi and it wasnt his first time kuiba.

So mhindi aliitisha disciplinary meeting na kumbe police officer walikuwa alerted wamungoje wakamate yeye.

The guy was 10 steps ahead he made sure amechukua computer ya ofisi na kuingia nyasi.

Right now ameambia mhindi haiendi kurudisha hio device since it was his tool of work.

Na incase of anything wapatane kortini

1 Like

So unataka elders wakusaidie na nini?

3 Likes

Uliamua kutubeba watu ya boda:

1 Like

Kumbe wewe ni jobless chieth Kwa mummy

1 Like

Story ya mhindi na supervisor inatokea wapi na alisema anafanya kazi ya boda?

4 Likes