Nyama kama kawa na white cap tano…Kupigia mwili poa… Budget 2K… No PNC., just a man enjoying his sweat.
1 Like
Bila lanye, hakuna PNC. You deserve it.
billionaire, rusha kakitu…
Hio 2k ni budget tangu ya lanye ya a whole month…
Damn!!!
Buy blue ice mbili na mara na sembe. 500 max
1 Like
Cortedivoire anakamata jug ya keg, chrome nusu, mogoka na lanye ya 150 huko Calabash.
1 Like
Leo ni soft soft meat for us embobut gang. Alafu kesho nyama na tembo late afternoon watching mpira
Sherehe ikipita 1k is bragging
Hii naona ukienda sana ni 600