Super Metro

Super Metro wamedai dereva hapana taka distractions.

1 Like

Lies hakuna watu fisi kama madereva na maconkodi those people fuck ratchets like nonsense

Kuna mjamaa alipata kazi kama route manager wa hizi metro. Siku hizi ako na pesa kama shit… Hii sacco inakaa ina pesa sana.

2 Likes

Chokora shilingi mbili ndo mpesa.
More liquid would be more correct

1 Like

Front seat is always reserved for women

Actually i think more than 95 percent of drivers ivo ndo hao hupata mabibi zao
I have an uncle who is a driver that’s how he got his wife apo kwa front seat

madame pia wana wapenda sana , its the cofindence they have and the fact that wana guts za kuchokoza women , pia hio reservation ya front seat hu wambamba sana.

Hizo ni bakuli anaachiwanga na kila gari otherwise hamna pesa. Unapata route kama ya Kitengela ina Super Metro 50 na kila gari ikimwachia bakuli ya 50 daily huyo msee anakuwa ako mafutani kila siku.

Wacha dere abaki na magoti za pharmacy zimeparara

Most people meet their spouses through their line of work or through school.