[ATTACH=full]498444[/ATTACH]
hehe @Wanaruona hamutaki competition from super metro? I thought huyo mama wa Double M amefilisika kabisa
Wawache kusumbua empire ya marehemu mandevu.
Double m iliisha, mabasi yamechapa, super metro is supreme. Super metro ziko mpya na comfy bana. Siwezangi kupanda mat mizee unatokanga na mchwa na kunguni
Huyo ni @Yuletapeli hostile cartel takeover. Huyo mama umbwaaa akimbizwe. Huyo ghasia alininyanyasa vibaya Sana. Vile nilimaliza form 4 nilipata job ya car wash. Huyo mama alikuwa akilipa basi tatu Mia mbili. Halafu maji ulikuwa Una chotaa na ndoo. Hio mateso nilipitia huko for 2 days before I call it quits. Ilikuwa same na Ile miaka ya watoto waisraeli walikuwa wanapitia huko misri.
Ulikuwa unachapa works kwa yard yake ama?
Ukifanya job Kwa yard ya double m lazima sons of mandevu wameingia mkia
Alikuwa na car wash basi tulikuwa tunaosha Saa sita usiku Hadi morning. Alikuwa na place karibu na hapo supa loaf.
After madef anyurie watu wake wale wa kujenga body na pimping walihamia DODI autotech.
Aliwafinyilia sana
Alafu pia mwenye Dodi akalemewa
‘CATSKILL’ ndio ilikua kusema izo siku
:D:D:D:D
@Yuletapeli si naona Super metro zimejaa hapa Kangundo Road. Si wanawatoa kwa hesabu
Huyo mama sasa anapata dawa yake.
Hasoraaa
Ni mzee sahi and not ambitious
Along kangundo road. Hio place naijua. Nakumbuka back in the days kuna siku nimepanda izo gari kutoka tao na nikableki hadi nikapitishwa stage ya koma. Niliamshwa gari ikiwa ndani ya hio yard:D But pole kwa hayo mateso. Inakaa mama alikuwa mnyanyasaji kupindukia
Now it’s payback you can’t build empire on other people sweat.
Hata huyo pia alifunga bana