sunnmango the chief mobilizer for nomination elections

100k for 300 men… Kidogo sana…
How do you sell your vote for 333 bob?

It can’t buy even a kg of meat… Hii sio nyama

2 Likes

each of the men was given ksh. 500 each for lunch na sunnymango chai ya 10k

naona Chaiman hakulagi lunch…:smiley:

1 Like

That must have been in Kariobangi. That incident happened early this year. Huko mlipelekwa kwa wale wabaya.:D:D:D:D:D

3 Likes

Nyairoffi ni yetu

1 Like

Nyama za kuuza kura ni tuonjo tu, huwezi pewa kilo.

2 Likes

Typical

1 Like

hizi hekaya zako hunimaliza…one day naeza taka tupatane pale mung’etho nikubuyie chupa ya Vienna unichapie hizi hekaya

1 Like

:smiley:

Mwisi yeye utaibia aje polisi,hio ni madharau kubwa sana:D:D:D

1 Like

Wewe ugly sunnmango Gio ni ndugu yako?

1 Like

next time kujeni wakanyama fiedom jaluo moja ijaribu kurusha mawe ione moto

2 Likes