Sunday service,

Am sitting somewhere in Mtwapa waiting for my portion of red snapper.
Right next to the pub is a church doing some demon cleaning services as far as I can decode… Naskia tu lala saba lala saba,
Hii local nayo imejaa malware of all sorts,

And you wonder why it’s the capital of sin in this side of Kilifi County.

Sossion analand mombasa when wa watu wake? Kuna principals walikwamana hapo

Ningekuwa huko tungesaidiana kuona vile itakuwa. Si uteremke hapo pirates beach ukutane na vitoto hapo zile zimemada f4 last year zikijivinjari hapo.

Zikuli vitoto mie

Havijui kuosha mzigo banae…

DP ako Manyatta reo
[ATTACH=full]236455[/ATTACH][ATTACH=full]236454[/ATTACH]

Tulisema kanisa isipokee pesa sa wisi… Hawa waembu hawaskii…
Meffi sana

:D:D Ndio nimesema ningekuwa huko naona tungebadilishana mawazo