[ATTACH=full]372726[/ATTACH]
Hii fombe siku hizi iko na namba mbexes mingi sana.
I like it haina hangover
Hiyo picha umeiba wapi?
Internet
True na Mbuzi pia husaidia sana.
Yes
Weka picha za ndùndirō ! Half skinned goat haileti shangwe .
Hizo clawmatsu kwani wewe ni bro ya @mabenda4
No
Tulikula matumbo fry. No mutura