Lovely song mwalimu.
Mûriega? Giai na mûthenya mwega
Naije mzae. Wewe huota jua?
poa. kuna mtu haoti jua sababu ya fitamin dee?
siku izi watu huota joto ndani ya blanketi
[ATTACH=full]169260[/ATTACH]
nipe ikus
Juha Kalulu wewe.
Ile mambo yako ya kukosa usingizi. Wazee wengi husaidiwa na kuota jua juu inasaidia circadian rhythm through melatonin regulation.
Hii documentary hunibamba…
sababu ya hiyo wacha nitembee mpaka supermarket for brunch…
Expose that skin to the sun inasidia sana.
Branch sio ile ya mti …??