Sunday K-Talk Show [Debut]

This is the debut of Sunday K.Talk show. This talk show will be held every sunday in the afternoon to kill boredom. Any Ktalker be it a NV,SV,VE can host a sunday talk show as long as u have a sensible topic people can discuss on. Today being the debut Jay baby boy will be the host…So what are we discussing today?

Well our discussion today is …is it amust to have children…This topic sana sana hits on women. Ni lazima uzae ndio society ikupe heshima ama ikutambue…to men is it a must upeane mimba ndo watu wajue wewe ni jogoo

Aunt to Niece
Aunt Njeri: sasa wewe Wanjiru miaka zinaenda na bado haujatupatia mjukuu…u are now 28

Niece Wanjiru: Aunty kwani ni lazima nipate mtoto…mimi nataka ku concetrate na career yangu

Aunt Njeri: Meffi

Uncle to Nephew Jay
Uncle: mkubwa ni nini una ngoja…huyo mzungu uko naye si umzalishe kamtoi kijana akuwe the future Boateng pale die mannshaft

Jay: skiza wewe uncle chokosh mlevi mjinga…hautanipangia maisha yangu

DISCUSS…twende kazi

Tuseme unashoot blanks in a mzungu pussy?

Discuss topic at hand and not an individual. My chic does nt want kids…most german women hawapendi kuzaa

watu wazaane

OK, kuzaa ni muhimu otherwise haungekuwa unasumbua watu hapa.

Khocha ni nini kuni bulldoze na matusi mseh…

Ata kama they are not financially stable to cater for a kid?

Pole, Khocha. Hii pombe ya Bungoma nowadays wanaongesa pili pili.

financial stability is relative.
tena nimenotice watu wakipata watoi wanakuwa more responsible.
ile kitu muhimu ni mtoi apate food, housing, access to medical facilities and education.
hizo zingine ni luxury.
nimenote tena watu walilack luxury wakiwa watoi tend to be more hardworking and responsible in school/life while many who had everything they wanted wakiwa watoi tend to be jokers/irresponsible

hawa machokora utusumbua streets day in day out si walizaliwa with pple who knew they could not afford to raise them

am 27 single en never sired …pressure iko frm uncles ni settle down bt i don giv a fuck…i dictate my own life choice…ntakamuana mpaka nichoke b4 i think of kids…

machokora wengi hukuwa tu deliquents wenye wanamisbehave home wanatoroka sio ati wazazi wao wameshindwa kuprovide basics za life. but kunawao wako desperate for real na incase wakipata usaidizi huwa wanareform

Mi kama bibi hazai nazalisha mpango wa kando alaf anakuwa mke mwenza

Chokora was just an example , how about the kids in slums kama pale kibera.unapata familia wanaishi in poverty na wako na watoto wa tano…kidogo kidogo unaona bibi amebeba mimba ingine…why produce yet u know the kid will have a miserable life

alafu utapewa crowni ama? what is the reason for u to have kids…

Kwani ukizaa msedes itakatika ama? BTW msee akoa puthy hukuja right left n centre

hao watoi tano wanaeza grow poa. kuna free primary education na secondary education in day secondary school so its challenging but with the right attitude mtoi mmoja ama wawili watamake it na wasaidie mandugu zao.
alafu upate kitoi kingine kimezaliwa kile ama muthaiga kimevuta mabangi kinasumbua kama ule adpoted son wa betty tett alifungwa juu ya kutaka kuua the adpoted parents.
on the number of children kama ulisoma economics ulijua poor people hawanga access to many recreational facilities wanabakisha tu kudinyana na hawana proper access to family planning so wanazaana tuu

From 1996 uko Na wangapi ama uko Tu Na makosa mingi Kama hiyo busaa?

Most of slum kids end up being gun wielding gangsters…watu wakusumbua raiya

Didn’t @karl marx get a revelation that sex should only be for procreation?

That means kama hauzai usahau.

Peasants don’t have any other form of entertainment except sex. That’s the reason. Tena vitu kama cd ama family planning si priority kwa mtu anajaribu kutafuta basics za ku survive. Ongeza pia illiteracy kwa hiyo situation…end result ni more poverty and the cycle continues.