Wadau nmerudi.
Wapi msupa wangu, the one and only, my Finest Ratish? @Ka-Buda bado uko na mashida na ma baby mamas? Pris hizo mashakura zako kaa nazo, my @Miss Randan hazipendi na sio tafathari, ngui. Alafu naskia kuna khasia inaitwa @uwestikteta alikuwa akinyemelea kitemeo changu. Qumanina zake.
Mujamaa wa Thika road pale Kimbo aka @Mathice uliacha ufala? @pseudonym ule mmama nmekumis aki, najua @VC ameshindwa kuweka wewe dumbo kwa hio turera yake, meffi yeye. Ule @Pseudonyms mbaba tulia for now I dont do mafadhela, chyeth. Anyone ambaye yuko over 80 years na bado akona pang’ang’a kwa hii kijiji coomernina zake. Pris mwarimo @gachui I knw bado haujakaribia hio mamiaka so tuliza makagary. And btw ule mod aka master feelings kwani atabaki kuwa new villager adi lini, mujamaa wa diaspora utahama lini?
@Idi adnim , pris pris weka bash kama ile ya prodigal sun to welcome me back. Mpokee salamu kutoka kwa ndugu yetu @Lab pale kwa Abdul, though ameshindwa kukamua ngamia. Ile mungiki mikora ilijificha sikuiona huko. @Mujamaa wa mitura najua uko hapa na multi handle zako, tafuta ule midget @KaRadar_ aka @Panyaste mkam wote nwachape gujru. Na usiniulize hio ndo nini ju hata mi sijui.
Mandugu zetu wa bongolala land wajambo lakini, tafasali msituletee viswahili mingi hapa. Hio bra bra bra hatutaki kuskia. @Baba Ochi inafaa tuonge, kuna nduthi zangu mbili za boxer uncle Thio amekojolea zinafaa kupigwa overhaul. Ndakutafuta alafu ukimaliza unichoree kikaragosi ya @Fala fulani sawa. Na mkiona huyo ango yangu fake aka @Uncle Thio , mleteni hapa ajibu maswali. Afisa @pamba najua by now umeshiba hongo, acha na sisi pia tuenjoy kufanya makosa bila kulipishwa VAT.
Kwa wale mafala walijaribu kuua Kush pale kenyaspot, karma was an instant bitch. Hata kwa ngoongle hio kenyaspot yenu ni khalas, haipatikani. Ndugu Bingwa I respect you. Though u tried to bring me back with one of your many handles, you did a poor job at that so kubaff. Alafu @Nyarwath thanks for keeping the hekaya spirit going.
Finally my sweetheart, the only bean in my githeri infact my one and only paracetamol, your Whiz Khalifa is here. Kitambi nlipunguza. Aki ile kamuti mweni aka @Chloe sister ya @vuja de aliniwekea kwa mucakwe haikuwa mchezo I swear. Made me almost forget you, sikuwa na plan ya kumbinja, ni yeye aliniweka box. I was lost then but now am back. Back to Muchatha the place where we belong. Tafasali @Padre kam re-bless our reunion just like you did the first time pale jadeed desert. Ni hayo two kwa sasa.