2022 politics taking shape gradually.
[ATTACH=full]189832[/ATTACH]
One thing I find interesting, how can hoho as the chief tribalist against wabara ever dream of a presidential seat. What will he say or offer to Luhya, Kamba, Kikuyu, Meru, Embu, Kalenjin and everyone else if he has no time for them or their business in Mombasa county.
Nilisema Moi was the best preso, ona sasa!
Gideon politics loading…
purr 47 hapo tuko pamoja
yaani mtu anatoka kwao Mombasa unakuja hio njia yooooote hadi Nairobi kukuja tu kushutiwa na mzee, just to keep up appearances?! Na vile hawa 90 somethings huwa wana unleash ma silent killer. Na hawajui wakitoa. Ubaya ufungue dirisha na hii baridi.
“Gichana hapana fungua dirisha!”
Somethings cooking lakini kachumbali imejaa chumvi, we won’t eat
Halafu ushinde ukiulizwa, “Gichana umesema unaitwa nani? Umesema kwenyu ni wapi? Mko wangapi kwenu? Umeoa? Una watoto? Mungu akubariki sana!”
“Na ulifika saa ngapi? Na umesema umetoka wapi? Umekula? Ngoja uletewe uji?”
“Na umeniambia unaitwa nani kijana? Wewe ni nani? Uko na kazi? Umetumwa na Uhuru? Mnajuana na Kidion? Umeoa? Mungu akubariki sana!”
“Sasa wacha nikajiekelee kidogo…”
In May, Moi refused to see Ruto, this is all about 2022 realignments
Moi ako senile?
Ama bado?
Nauliza tu
Boardroom politics illisha 2007 with grand coalition government. Hii kitu mnakutana watu wachache, mnagawana pesa then mnaenda kwa wananchi to rubber stamp imeisha. You start with the people first, finish/seal it at the ballot just like Jubilee did in 2013 & 2017. Right now you go to all 47 counties, show them what you have done before for them and what you will do in the future. You can then show how you will work for the locals there and the local leaders. Yaani lazima uombe kwa utaratibu mashinani. Watch how DP Uncle Ruto anaomba raia support kwa roho safi after 2 minutes. There is no shortcut to Presidency, you have to court the people not dynasties.
https://www.youtube.com/watch?v=PMgDie5oxFQ
A better clip.
[MEDIA=facebook]2061591260538024[/MEDIA]
Umeguja na pesa ngapi kiyana
Meanwhile before you plan for 2022 elections, understand 2013/2017 elections. Then build your development record between now and 2022. Then look back at the shifting political bases. Western has voted 3 consecutive elections for RAT, will they stick to that for a fourth time I.e 20 years straight or go it alone. Ukambani has voted for two consecutive elections for RAT, will they go for a third I.e 15 years or will they go it alone. Coast has voted for RAT consecutively for 3 elections I.e 15 years, will they go it alone or try a 4 attempt I.e 20 years. Like I said, its now down to county by county ukiomba support. Dynamics are shifting.
[MEDIA=facebook]2064541200243030[/MEDIA]
Na akiboeka anapigia Gedion simu,“Njoo gidogo! Haba iko rafigi yako mlikuwa nacheza na yeye zamani… nagwisha kuwa mkubwa na ameoa. Njoo usalimie yeye gidogo mimi habana jua yeye ni nani! Yeye ni nyeupe kama Kosgey lapda ni gijana yake!”
Sisi tunangoja baba Moi na kijana Uhuru watupe mwelekeo
musubcounty niaje?
[SIZE=16px]
[/SIZE]
He came by air
Joho is a slow learner as evidenced by his poor grades. He now understands national leadership needs national appeal. He has talked a lot of garbage and it’s all recorded. That means he will only ever be a regional kingpin.
Yaaaani Ruto anafukuzwa kama mbwa halafu joho anakaribishwa. Ghai dunia ina maneno
Dinosaurs will become lizards