suing matatu sacco...huyu amelalia gold mine, considering her disability

[MEDIA=twitter]1659233583167426561[/MEDIA]

Hao maumbwa watapelekwa wafike. Ngoja FIDA na Disabled Persons waingilie hiyo kesi ndio hao makanga watakipata

1684480481211.png

Apate judge mmama, atapewa 10M for a whole litany of violation of her rights.

Why is the stock response always to strip them?

Makanga watatoa wapi pesa kama hio kama mshahara ni mia saba?

Matatu Sacco inaingilia aje hapa yet ni makanga wenye makosa? Note the term “matatu crew” is not the same as “matatu Sacco officials”.

Matatu Sacco itakuwa punished inaweza kuwa suspended for three days.

Hizo ghaseer ndio zitaskumwa ndani and face the music ama walipe huyo madam kiziwi

sacco ni collective and their job is to ensure the safety of passengers and workers… liability exists… penye watatoa wao ndo wanajua… plus she is disabled hapa ni

shida advocates ni jambass sugu

SACCO itahusika tu kutoa hao magaidi, juu hakuna guidelines zinadai abiria kama hawezi lipa fare avuliwe nguo. Hapo ni mtu na msalaba yake

How exactly does undressing someone give them the fare?

The industry is full of perverts.

A lawyer who wants to make some good money from the payout can take up this case

Dunstan Omari is on his way to Meru

@Yuletapeli sacco inafaa kuwa accountable kiasi…i saw the way some stage managers handle drivers and conductors na matusi mbaya mbaya unaona kuna shida and for most of you saying Sacco sijui ifanywe nini hamjui matatu sector uko ndio mafia na cartels mbaya ziko…tuangalie embassava imekuwa na makesi ngapi na bado inachafua

Stripping someone is akin to raping them already… it is a move that weak people use to show the power they think they have over others…

Sacco ina faa tu ku make sure wale wanapewa job kama makanga na drivers wakona akili timamu, na wanaeza fanya kazi vile inafaa. Hio kesi hapo juu mwenye makosa ni yule alichukua sheria mkononi, kumbuka he’s an adult so ni yeye tu atafikishwa mbele juu sacco ilimpea kazi kama mtu akona akili timamu na mwenye uwezo wa kusoma na kuandika na pia anajua sheria iko. Hapo sacco itajitoa kabisa na wahusika watabeba msalaba wao pekee yao. Hao wataozea jela.

Criminal suit on individual perpetrators
Civil suit on the individual perpetrators and SACCO

Somebody wants matatu to be banned from CBD. This is the way