Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘SUGU’ amelieleza Bunge kuwa tayari ameunda jopo la Mawakili wake sita kwa ajili ya kulipeleka Mahakamani Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) baada ya kudaiwa kuufungia wimbo wake mpya kwa madai kwamba hauna maadili.
_
“Mimi sio Roma wala mimi sio Diamond, naiburuza BASATA Mahakamani kwa swala hili na ndio mtajua namna gani Nchi inatakiwa kuendeshwa” asema SUGU @jongwe__
[ATTACH=full]178003[/ATTACH]
Tatizo Huko Kwenye pia Kuna watu wa upande wa pili
Ngoja tuone…
Cc: @Mahondaw
Ni afadhali kuliko kunyamaza na kukaa kimya!!
Jongweeee…
Basata watafute watu wao wawe wanawatungia wasanii mashairi sasa… maaaaaaeeeee!
weka mate niteleze kama nyoka pangoni…kwangwaru ilooo matusi kama yote yaaani
Still kitaa linabamba dadeq yaani daah!
Anapoteza muda huyo kichaa
Nani kichaaa, we ku…
Yule wa basata si ni mdgo wa jiwe?