Suggestions priss

Wadau niko na mzoga nadai kuomba bitcoins kutoka kwake lakini anadai apelekwe swimmo for a date. Mi ile swimmo najua tu ni duff mpararo so naomba mlete suggestions kwenye ile swimmo naeza mpeleka either in Thika or Nai. Coordinates na pia charges zikuom ntawaosha mecho nikifanikiwa, sandeni!

1 Like

Umoja 1 primary school wamemaliza construction ya swimo, na juzi nimecheki washaweka maji. Pitia Hapo uurise…

1 Like

Utalii… Thika Rd.

Alas kumbe pia wewe ni raia wa Umoshe . Pitia HB tuchape moja leo

2 Likes

Laico regency. Formally Grand regency CBD.akunanga watu wengi .adults 2k

Peleka yeye kasa,kuna swimo ya kila mtu . huko huezi aibika

1 Like

HB haina pishori?

2 Likes

Peleka yeye Carnivore. Huko kwa dark tunnels unaweza kuwa carnivorous.

2 Likes

Swag na duffo mtaani.:smiley:

2 Likes