Suggestion

Elders natumai mko fiti

This is just a suggestion..mnaonaje if we can plan for a trip pamoja ya sherehe kubwa mahali, proposal yangu ni twende kama tanzania or uganda and tukuwe na like each 50-100k then we do kama 1-2 weeks of serious sherehe pamoja na kuosha mrija na macho…
It can be something either in November ama January because Dec inaeza kuwa expensive sana!.

So nimeeka that far because watu wanaeza jipanga vizuri polepole and have the required money ya kusababisha

1 Like

7 Likes

Get real friends, we are imaginary friends who don’t exist.

9 Likes

Back in the other kijiji, some talkers used to meet and party together akina Meria Mata

Most elders live a fake life here ..hawawezi itikia kupatana face to face

1 Like

iko kudishi lanye

Peleka hiyo upus huko zugabaga. Huku elders thrive in anonymity, fantasy and fake aura

3 Likes

Enyewe nimeona ivo.
To each their own.
Acha mimi nipange yangu wengine wapange yao.
Tutapeana hekaya hapa as usual.

Thread closed.

anonymous hacker GIF

1 Like